Basi la Muro lapata ajali Mbagala

Wakazi wa Mbagala wakiliangalia Basi la Abiria mali ya Kampuni ya Muro Investment T 831 BEY linalosafiri kati ya Dar es Salaam na Mikoa ya Kusini baada ya kuacha njia na  kutumbukia kwenye mtaro eneo la Mbagara Misheni Dar es Salaam. Abiria wote walisalimika.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU