Kasheshe ya mvu Dar, Jeshi laingilia kati kuokoa wananchi


Wazamiaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakitumia Boti maalum kuokoa majeruhi na wananchi waliokwama Jangwani, Dar es Salaam jana, bada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko
 Maji yakiwa yamelifunika daraja la Ulongoni, Manispaa ya Ilala Dar es Salaam na kusababisha wakazi wa eneo hilo kushindwa kuvuka leo
 Askari wa Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), Polisi na Mgambo wakisaidia kumuingiza ndani ya gari la wagonjwa, mmoja wa majeruhi wa mafuriko, Dar es Salaam
Vijana wa Mongo la Ndege, Dar es Salaam wakisaidia kuokoa watoto waliokwama kwenye maji leo

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU