RC, RPC Dar watembelea eneo la mafuriko Sinza na Jangwani


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Sadik Mecky Sadik, akionesha sehemu iliyoharibiwa na mafuriko, alipowatembelea wakazi wa Sinza kujua athari za mafuriko hayo Dar es Salaam. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuf Mwenda.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Suleiman Kova, akionesha moja ya nyumba zilizoko ndani ya maji, kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha Jijini leo. Watu watatu wamelipotiwa kupoteza maisha kutokana na mafuriko hayo.

Watoto wanaoishi eneo la Jangwani wakiwa wamehifadhiwa kwenye kituo cha Daladala, kando ya Barabara ya Morogoro, baada kuzikimbia nyumba zao, kufuatia mvua kubwa zilizonyesha Jijini Dar es Salaaam na kusababisha mafuriko

Wakazi wa Jiji wakiwa juu ya daraja la Jangwani, kukiangalia vitu mbalimbali vilivyosombwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU