MIGAMBO WA JIJI NA UFUNGAJI WA MAGARI YA WATU MITAANI

Baadhi ya Migambo wa Jiji la Dar es Salaam wakilifunga kwa minyororo gari namba T411 AED, baada ya kuikuta limeegeshwa kando ya barabara ya Azikiwe jana. (Picha na Nyakasagani Masenza)
Hapa Migambo wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kulifunga gari hilo kwa minyororo wakiwa wamesimama kando ya barabara wakimsubiri kuonana na dereva.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU