Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, December 20, 2012

JAJI MKUU ALIVYOWAAPISHA MAWAKILI

 JAJI MKUU WA TANZANIA BW. OTHMAN CHANDE (KULIA), AKIWASILI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA SHERIA, DAR ES SALAAM JUZI KWA AJILI YA KUWAAPISHA MAWAKILI WAPYA.
 JAJI MKUU WA TANZANIA BW. OTHMAN CHANDE (KATIKATI), AKIWA TAYARI KUWAAPISHA MAWAKILI WAPYA WALIOTAMBULIWA NA KUPOKELEWA JUZI
 MMOJA WA MAWAKILI WAPYA WALIOAPISHWA NA JAJI MKUU BW. LINUS BWEGOGE AKIAPA BAADA YA JINA LAKE KUTAJWA KATIKA KUNDI LA PILI LA MAWAKILI 50.
 MAWAKILI WAPYA WAKIHAKIKI MAJINA YAO KABLA YA KUAPISHWA
 MAWAKILI WAPYA WAKIONESHA HATI ZAO BAADA YA KUAPISHWA


MAWAKILI WAPYA  BAADA YA KUAPISHWA NA JAJI MKUU OTHMAN CHANDE


HAPA NDIPO ILIPO SHULE YA SHERIA, ENEO LA UBUNGO, DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment