Taifa Stars yaifanyia kweli Zambia

 Vijana wa Stars wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa, kabla ya kushuka dimbani kuwakabiri mabingwa wa Afrika timu ya Taifa za Zambia Chipolopolo, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Stars ilishinda 1-0
 Kikosi cha Stars kilichowafunga mabingwa wa Afrika Chipolopolo ya Zambia
 Timu ya Taifa ya Zambia iliyokubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Stars Uwanja wa Taifa.
 Vijana wa Stars wakiwa kwenye umbo la pamoja kabla ya mchezo.
 Patashika katika lango la Chipolopolo
 Mshambuliaji wa Stars Mrisho Ngasa akijaribu kumtoka mlinzi wa Zambia

 Mlinzi Erasto Nyoni akichuana na mshambuliaji wa Zambia.
 Wachezaji wa Stars wakishangilia baada ya Mrisho Ngasa kuifungia Tanzania bao pekee dhidi ya Zambia.
Wachezaji wa Stars wakitoka uwanjani baada ya kuwafanyia kweli Zambia.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru