Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, January 24, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA


                                     

Hawa ni Migambo wa Manispaa ya Ilala ambao huwavizia na kuwakamata madereva wanaoegesha magari kando ya Barabara na kuwatoza faini za papo hapo bila kutoa stakabadhi sitahiki.
Mkazi wa Kigamboni, Dar es Salaam akisukuma Baiskeli iliyosheheni madumu ya maji wakati akitoka kuchota maji umbali mrefu. ndio maisha bora hayo.

No comments:

Post a Comment