NSSF ILIVYOWAKUMBUKA WAZEE WA NUNGE

 Maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiangalia nyumba za wazee wa Nunge
 Meneja Kumbukumbu wa NSSF, Shaban Mpendu (mwenye suti na tai), akimsikiliza Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na walemavu wasiojiweza, kuhusu vifaa vya jiko la chakula cha wazee, walipotembelea makazi hayo jana kwa ajili ya kukabidhi vifaa mbali mbali. Wengine ni maofisa wa NSSF kutoka Makao Makuu.
Haa panavuja, tunaomba msaada wakarabatiwe, Ndivyo anavyosema Mfawidhi wa Makazi ya Wazee wa Nunge, Bi. Frida Kyara, akimweleza Meneja wa Kumbukumbu wa NSSF, Bw. Shaban Mpendu (mwenye suti)
Maofisa wa NSSF wakijaribu kutembea huku na huku kuangalia makazi ya Wazee.
Hapa Mfawisdhi wa Makazi ya Wazee Bi. Frida (kulia), akimshukuru Meneja wa Kumbukumbu kutoka NSSF, Bw. Shaban Mpendu kwa msaada waliotoa kwa wazee.
 Baadhi ya Wazee wakiwasikiliza maofisa wa NSSF, waliofika kwenye makazi yao kwa ajili ya kutoa misaada.

Dereva Mwandamizi wa NSSF Bw. Iddy Mpole akifuatana na Bi. Judith walipokuwa wakitembelea makazi ya wazee wa Nunge, Kigamboni Dar es Salaam jana.

 "Tumesikia kilio chenu, nitalifikisha kwa uongozi wa juu wa NSSF, tuangalie jinsi ya kuendelea kuwasaidia wazee wetu", ndivyo anavyosema Bw. Shaban Mpendu.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru