NSSF INAVYOTHAMINI WAZEE

 Baadhi ya Maofiswa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiwasikiliza wazee wa Nunge, walipotembea makazi yao jana na kuwapa misaada mbali mbali kwa ajili ya kujikimu.
 Meneja kumbukumbu wa NSSF, Bw. Shaban Mpendu (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Makazi ya Wazee wa Nunge baadhi ya sufuria zilizotolewa na NSSF kwa ajili ya chakula cha wazee hao jana.
Baadhi ya wazee wanaoishi kwenye makazi ya wazee wa Nunge wakiwa na familia zao walipokuwa wakipokea misaada kutoka NSSF jana.
 Hapa ni miongoni mwa wazee hao wakiwa na familia zao jana
Meneja kumbukumbu wa NSSF Shaban Mpendu akikabidhi msaada wa miswaki kwa Mwenyekiti wa Makazi ya Wazee, 

Hapa baadhi ya wazee wa Makazi ya Nunge wakiwa katika picha ya amoja na maofisa wa NSSF baada ya kukabidhia misaada mbali mbali pamoja na matenki ya maji safi jana.
Hapa Mfawidhi Msaidizi wa Makazi ya Wazee akitoa mkono wa shukrani kwa Meneja wa NSSF baada ya kupokea msaada jana.
Mfawidhi Bi. Frida Kyara akitoa mkono wa shukrani kwa Bw. Shaban Mpendu wa NSSF.
Timu ya NSSF iliyotembelea Makazi ya Wazee ikiwa katika picha ya pomoja na Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee, Bi. Frida Kyara. (wa pili kulia mstari wa mbele ni Meneja wa NSSF, Bw. Shaban Mpendu.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU