NSSF YAWASAIDIA WAZEE WA NUNGE

Afisa Mfawidhi Msaidizi wa Makazi ya Wazee na Walemavu wasiojiweza akiwakaribisha Maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), walipofika kwenye makazi hayo kwa ajili ya kutoa msaada. Kulia ni Meneja wa Kumbukumbu wa NSSF, Bw. Shaban Mpendu .
Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na Walemavu wasiojiweza, Bi. Frida Kyara akiwaongoza maofisa wa NSSF kukagua matenki ya maji yaliyotolewa na NSSF kwa ajili wa makazi ya wazee wa Nunge.
 Meneja Kumbukumbu wa NSSF, Bw. Shaban Mpendu (mwenye suti), akiwa na wafanyakazi wa NSSF wakiangalia matenki ya maji kwa ajili ya wazee wa Nunge.


 Hapa wakijadiliana jinsi ya kuboresha huduma za maji kwa wazee wa Nunge ikiwa pamoja na kuangalia uwezekano wa kujenga uzio

 Hii ni sehemu ya kupandisha maji juu kwa ajili ya kusambazwa kwa wazee wa Nunge
 Hapa maofisa wa NSSF wakipita huku na huku kuangalia makazi ya wazee wa Nunge
Afisa Uhusiano wa NSSF, Bi. Maife Kapinga (kulia) na Bi. Judith wa NSSF wakipita huku na huku kuangalia makazi ya wazee

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU