USAFIRI DAR ES SALAAM

Mzee wa miaka zaidi ya 70, akininginia nyuma ya Baiskeli ya magurudumu matatu 'Guta', wakati akisafirisha mizigo yake kupitia barabara ya Msimbazi Dar es Salaam jana.
Hapa akimwangalia mpigapicha wetu, huku mwendesha Baiskeli hiyo, akijaribu kupenya kwenye foleni kubwa ya magari. PICHA ZOTE NA NYAKASAGANI MASENZA

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU