AZAM YA TANZANIA YAUA, YAWATUNGUA EL NASRI 2-1 U/TAIFA

 Mshambuliaji wa Azam FC Abdi Kassim (aliyepiga magoti), akishangilia pamoja na wachezaji wenzake bao la kwanza la timu hiyo, alilofunga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
 Kikosi cha timu ya El Nasri ya Sudan Kusini, kilichocheza na Azam, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo na kuchapwa mabao 2-1.
 Kikosi cha Azam kilichowauwa El Nasir, leo
 Waamuzi wa mchezo wa Kimataifa kutoka Kenya wakiwa na manahodha Abubakary Salum wa Azam (wa tatu kushoto) na Joseph Odongi wa El Nasir ya Sudan Kusini wa pili kulia.
 Benchi la wachezaji wa Azam wakishuhudia mtanange huo leo
 Wachezaji wa Azam wakiomba dua kabla ya kushuka dimbani kuwakabili El Nasir ya Sudan Kusini leo
Abdi Kassim akijaribu kumtoka mlinzi wa El Nasir Jacob Usuru (kulia)
 Abdi Kassim akiruka juu wakati wa heka heka katika lango la El Nasir.
Mlinzi wa El Nasir akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Azam Abdi Kassim (nyuma), asilete madhala kwenye lango lake.
 Wachezaji wa Azam wakimpongeza Abdi Kassim kwa kuifungia timu hiyo bao la kwanza leo.
Abdi Kassim akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza la Azam leo.
 Heka heka katika lango la El Nasir, kipa wa timu hiyo Peter Midia akiruka juu kudaka mpira wa kona uliopigwa na Brian Umomy


 Mfungaji wa bao la pili la Azam, Kipple Tchetche, akikokota mpira kuelekea langoni mwa El Nasir huku mlinzi wa timu hiyo Misikini Emanuel akijaribu kumlinda.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU