JUMA NASORO, MTAALAM WA KINGA YA NYOKA

Hii ndio Nyumba Maalumu ya Mzee Juma Nasoro, Mkazi wa Miono, Bagamoyo Mkoani Pwani, mtaalam anayeishi na majoka ya kutisha nyumbani kwake.
 Mtoto huyu Lazaro Mninga 12, aliyeumwa na nyoka eneo la Chalinze, Pwani na Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kutaka kukata mguu wake, akiendelea vizuri baada ya kupata matibabu ya uhakika
Huyu ndiye Mzee Juma Nasoro wa Miono anayeishi na Majoka ya kutisha nyumbani kwake.
 Hapa akiwa na Mtoto Lazaro aliyeumwa na nyoka Chalinze


 Akikagua maendeeleo ya mguu wa Lazaro, ambaye sasa anatembea baada ya kupata matibabu ya uhakika
 Mzee Nasoro akiwa na baadhi ya wateja waliofika nyumbani kwake kuangalia majoka.

Hawa ni baadhi ya majirani waliofika nyumbani kwake 
Hapa akiwa ndani ya chumba chenye masanduku makubwa ya nyoka wa kutosha

Huyu akimpongeza Mzee Nasoro kwa ujasiri wa kuishi na majoka
 Angalia joka hili ni chatu linalokula mbuzi wawili lakini wazima, lazima wawe hai.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU