Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, February 2, 2013

LOWASSA AWATAKA WAHITIMU KIDATO CHA SITA KUJIUNGA NA JKT

MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA LOWASSA ALIPOWAAGA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN MKAPA, DAR ES SALAAM LEO
 HAPA AKIGAWA VYETI NA ZAWADI YA FEDHA KWA WALIMU WALIOFUNDISHA VIZURI


 VYETI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI DARASANI

WANAFUNZI WAKISUBIRI KUPOKEA VYETI LEO
 LOWASSA AKIKABIDHI VYETI


MANENO MBEGU AKIMSHUKRU LOWASSA KWA KUWAASA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA


PICHA YA PAMOJA KATI YA LOWASSA NA WALIMU NA WAFANYAKAZI WA SHULE YA BENJAMIN MKAPA
LOWASSA NA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA
 LOWASSA NA VIONGOZI WA SHULE HIYO
 WAANDISHI WA HABARI WAKATAKA KUJUA MAWILI MATATU KUTOKA KWA KIONGOZI HUYU MASHUHURI TANZANIA
 HAPA AKIWAAGA WENYEJI WAKE TAYARI KUONDOKA
 LOWASSA AKIONDOKA BAADA YA KUWAAGA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA LEONo comments:

Post a Comment