YANGA YAITAMBIA AZAM, YAITULIZA KWA BAO 1-0

KIKOSI CHA YANGA KILICHOITULIZA AZAM KWA BAO 1-0, UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM LEO NA KUJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA
WACHEZAJI WA YANGA WAKIOMBA DUA KABLA YA KUWAKABILI AZAM LEO
KIKOSI KAMILI CHA WACHEZAJI WA TIMU YA AZAM WALIOTUNGULIWA NA YANGA BAO 1-0 UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM LEO
MFUNGAJI WA BAO PEKEE LA YANGA HARUNA NIYONZIMA AKIJARIBU KUMTOKA MLINZI WA AZAM WAZIRI SALUM WAKATI WA PAMBANO HILO LEO
 NIYONZIMA AKIKABILIANA NA KHAMIS MCHA WA AZAM
 HAMIS KIIZA AKIWA CHINI BAADA YA KUANGUSHWA KATIKA ENEO LA HATARI NA MLINZI WA AZAM JACKINS ATUDO
 MSHAMBULIAJI WA YANGA, DIDIE KAVUMBAGU AKITAFUTA MBINU ZA KUMTOKA MLINZI WA AZAM JACKINS ATUDO
 KAVUMBAGU AKICHUANA VIKALI NA ATUDO
 MASHABIKI WA YANGA WAKIWA WAMETULIA KIMYA WAKIANGALIA MCHUANO HUO

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru