Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, December 26, 2013

JAMES KISSAKA AMETUTOKA

Mlinda mlango wa zamani wa Klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, James Kisaka (pichani juu) amefariki dunia katika hospitali ya Burhan, Dar es Salaam, iliyoko Kariakoo.

Mdogo wa marehemu, Benny Kisaka ameiambia Mpiganaji kuwa James Kisaka amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment