NSSF YAPATA TUZO YA HESHIMA ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN (KULIA), AKIKABIDHI TUZO YA HESHIMA KWA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII NSSF, BI. CHIKU MATESA BAADA YA SHIRIKA HILO KUCHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI ZANZIBAR KIASI CHA SHILINGI. MILIONI 100.
AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA NSSF, BW. JUMA KINTU (WA PILI KUSHOTO), PAMOJA NA MAOFISA WA MASHIRIKA MENGINE WAKIMSIKILIZA RAIS SHEIN BAADA YA KUTOA TUZO KWA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZILIZOCHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI ZANZIBAR
PICHA YA PAMOJA KATI YA RAIS WA ZANZIBAR, ALI MOHAMED SHEIN NA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA NA KIRAIS ZILIZOCHANGIA MFUKO HUO MJINI ZANZIBAR.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru