CHANGASI, WARIOBA WAIPONGEZA YANGA KWENDA UTURUK

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI SEKONDARI MTAKATIFU JOACKIM, SAME, MKOANI KILIMANJARO, CHANGASI NYAKASAGANI (PICHANI), NA SHABIKI WA MABINGWA WA TANZANIA BARA YANGA, AKIELEZEA KUFURAHISHWA NA TIMU KUWEKA KAMB IYA MAZOEZI NCHINI UTURUK
MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO, HIGHMAUNT DAR ES SALAAM, WARIOBA NYAKASAGANI (PICHANI), AKIMUUNGA MKONO KAKA YAKE CHANGASI KUHUSU WACHEZAJI WA YANGA KUWEKA KAMBI NCHINI UTURUK
CHANGASI AKIONESHA TABASAMU BAADA YA KUTOA MAONI YAKE DAR ES SALAAM KABLA YA KUSAFIRI KUELEKEA SHULENI KWAO SAME, KILIMANJARO
WARIOBA AKIWA NA USO WA HUDHUNI BAADA YA KUANGANA NA KAKA YAKE 

CHANGASI (KULIA) NA WARIOBA (KUSHOTO), WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA KAKA YAO MASENZA NYAKASAGANI KABLA YA KUMUAGA CHANGASI
HAPA WAKIWA KATIKA POZI NYUMBANI KWAO ULONGONI DAR ES SALAAM.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru