Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, February 23, 2014

NSSF YACHANGIA MABORESHO YA MATIBABU KWA WATOTO

Rais Jakaya Kikwete akipokea hundi ya sh. milioni kumi kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Juma Kintu (kulia), Watika hafla ya kuchangia maboresho ya matibabu ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, iliyofanyika Dar es Salaam. Iiliandaliwa na Chama cha Madaktari wa watoto Tanzania.

No comments:

Post a Comment