Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, February 1, 2014

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA SABA

Mhandisi Dkt. John Ndunguru akipokea hati za kiapo kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuapishwa Dar es Salaam kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma, 
Mhandisi Dkt. John S. Ndunguru (kulia), akiapa mbele ya Rais Jakaya Kikwete kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma, wakati wa sherehe fupi ya kuwaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa saba ya Tanzania Bara, Ikulu, Dar es Salaam juzi.
Mhandisi Dkt. John S. Ndunguru (kulia), akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma, wakati wa sherehe fupi ya kuwaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa saba ya Tanzania Bara, Ikulu, Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete (wa nne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Tawala wapya wa Mikoa saba ya Tanzania Bara, baada ya kuwaapisha Ikulu Dar es Salaam juzi. Kutoka kushoto ni Mhandisi Dkt. John Ndunguru (Kigoma), Symthies Pangisa (Rukwa), Alfred Luanda (Mtwara), Wamoja Dickolagwa (Iringa), Mhandisi Omari Chambo (Manyara), Jackson Saitabau (Njombe) na Abdallah Chikota (Lindi).

No comments:

Post a Comment