WAJUMBE WA BODI NSSF WATEMBELEA MIRADI kIGAMBONI

PICHA YA JUU NI MOJA YA MAJENGO YA KISASA YANAYOENDELEA KUJENGWA KATIKA KIJIJI CHA DEGE, KIGAMBONI. PICHA YA PILI MKURUGENZI MKUU WA NSSF, DKT. RAMADHAN DAU AKIWAONGOZA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA HILO KUKAGUA MRADI WA UJENZI HUO. KULIA NI MENEJA WA MIRADI YA NSSF MHANDISI JOHN MSEMO. PICHA YA TATU MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA AZIMIO BW. MOHAMED AKBAL AKIWAELEZA WAJUMBE WA BODI MAENDELEO YA UJENZI.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru