Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, April 15, 2014

BUSINESS TIMES MABINGWA NSSF MEDIA CUP 2014

MWENYEKITI WA KAMATI YA MASHINDANO YA NSSF MEDI CUP 2014, RASHID ZAHOR WA UHURU AKISALIMIANA NA MGENI RASMI, NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO JUMA NKAMIA. KUSHOTO NI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII, DKT. RAMADHAN DAU.

BUSINESS TIMES WAKISHANGILIA BAADA YA KUWAFUNGA CHANGAMOTO NA KUTWAA KOMBE LA NSSF, KUTOKA KWA NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO JUMA NKAMIA, VIWANJA VYA TCC, DAR ES SALAAM. ANAYESHANGILIA KUSHOTO NI MKURUGENZI MKUU WA NSSF, DKT. DAU

NKAMIA AKIKABIDHI KOMBE KWA WASHINDI WA PILI WA NSSF MEDIA CUP 2014 KWA NAHODHA WA CHANGAMOTO, RIDHWAN RAMADHAN.
NKAMIA AKIKABIDHI KOMBE KWA NAHODHA WA MWANANCHI, MAJUTO OMARI BAADA YA KUTWAA TAJI LA MSHINDI WA TATU WA NSSF MEDIA CUP 2014

NAHODHA WA CHANGAMOTO RIDHWAN RAMADHAN AKICHUANA VIKALI NA MLINZI WA BUSINESS TIMES WAKATI WA MCHEZO WA FAINALI KWENYE VIWANJA VYA TCC

No comments:

Post a Comment