MICHEZO YA PASAKA 2014, NSSF YAITAMBIA ZSSF UFUKWENI

AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), JUMA KINTU AKIONGOZA JAHAZI KUVUTA KAMBA DHIDI YA WAPINZANO WAO ZSSF WAKATIWA MICHEZO YA PASAKA, KWENYE UFUKWE WA BAHARI, BAGAMOYO.
WAFANYAKAZI WA ZSSF WAKIJITAHHIDI KUVUTA KAMBA KWA NGUVU ZOTE WALIPOCHUANA VIKALI NA WENZAO WA NSSF.
TIMU ZOTE ZIKIONESHANA UMWAMBA, NSSF KULIA NA ZSSF WAKIVUTANA KAMBA
NSSF WAKIJIANDAA KUVUTA KAMBA DHIDI YA ZSSF
ZSSF WAKIWA TAYARI KUWAKABILI WENZAO WA NSSF
MZEE MFAUME WA NSSF (KULIA), AKIKIMBIA KATIKA MCHEZO WA MAGUNIA
KINADADA WA NSSF WAKIVUTA KAMBA DHIDI YA WENZAO WA ZSSF NA KUSHINDA
"VUTA KAMBA", NDIVYO NSSF WANAVYOHAMASISHANA WAKATI WAKIVUTA KAMBA
"TWENDE TWENDE", KINADADA WA ZSSF WANASEMA WAKATI WAKIVUTA KAMBA
HUYU ALIMASURA AZAME KWENYE BWAWA LA KUOGELEA BAADA YA KUZAMA
HAPA AKISHANGILIA BAADA YA KUOKOLEWA ALIPOZAMA KATIKA KINA KIREFU

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru