Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, April 4, 2014

NSSF MEDIA CUP 2014 KATIKA PICHA

MCHEZAJI WA TIMU YA NETIBOLI YA BUSINESS TIMES LULU HABIBU AKIJIANDAA KUFUNGA BAO, WAKATI WA MICHUANO YA NSSF MEDIA CUP 2014, KWENYE VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE, DAR ES SALAAM
MWAMUZI WA MCHEZO WA NETIBOLI, MAGRETH FUNDI AKIWAJIBIKA KIWANJANI WAKATI WA MICHUANO YA NSSF MEDIA CUP 2014, DAR ES SALAAM
LULU HABIBU AKIONYESHA VITU VYAKE UWANJANI
MAOFISA WA NSSF WAKITOA HUDUMA KWA WANACHAMA WA HIARI KWENYE BANDA LAO VIWANJA VYA TCC YANAKOFANYIKA MASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP 2014

MMOJA WA MAOFISA WA NSSF PATRICK AKIFUATILIA MICHEZO YA NSSF MEDIA CUP 2014, KWENYE VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE, DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment