NSSF MEDIA CUP 2014, MWANACHI YAICHABANGA FREE MEDIA

HEKAHEKA, WACHEZAJI WA MWANANCHI (JEZI ZA BLUE), WAKIHAHA KUCHUKUA MPIRA KWA WENZAO WA FREE MEDIA, MCHEZO WA NETIBOLI KUWANIA KOMBE LA NSSF MEDIA CUP 2014
MWAMUZI WA MCHEZO WA NETIBOLI MAGRETH FUNDI AKIONESHA ISHARA YA KUANZISHA MCHEZO KATI YA MWANANCHI NA FREE MEDIA KWENYE VIWANJA VYA TCC, CHANG'OMBE, DAR ES SALAAM LEO.
IMANI MAKONGORO (KUSHOTO) WA MWANANCHI AKICHUANA VIKALI NA ELIZABETH JOHN WA FREE MEDIA (KULIA) HUKU DIANAROSE MATIKILA AKIJARIBU KUMSAIDIA
MFUNGAJI WA MWANANCHI IMANI MAKONGORO (KUSHOTO) AKISUBIRI MPIRA
IMAN AKINYOOSHA MKONO JUU KAMA ISHARA YA KUUHITAJI MPIRA  HUKU DIANAROSE WA FREE MEDIA AKIWA MAKINI KUZUIA MPIRA USIPITE
ZAWADI CHANGOGO WA FREE MEDIA (KATIKATI) NA DIANAROSE WAKIJARIBU KUWAHI MPIRA WAKATI WA MCHEZO WA NETIBOLI KUWANIA KOMBE LA NSSF MEDIA CUP

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru