Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, April 26, 2014

TAIFA STARS YAKIONA CHA MOTO KWA BURUNDI, YACHAKAZWA 3-0

UMATI WA WASHANGILIAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS WAKIWA WAMEKAA KIMYA BAADA YA TIMU YAOKUCHAKAZWA MABAO 3-0 NA TIMU YA SOKAYA TAIFA YA BURUNDI (INTAMBAMURUGAMBA)
STARS WAKIAMBA DUA KABLAYA KUSHUKA DIMBANI KUWAKABILI BURUNDI LEO
KIKOSI CHA TIMU YA SOKA YA TAIFA YA TANZANIA, 'TAIFA STARS' KABLA YA KUCHAKAZWA  3-0 UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM NA BURUNDI KUSHINDWA KUWAPA RAHA WATANZANIA WANAOADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR
KIKOSI CHA BURUNDI KILICHOWASONONESHA WATANZANIA KWA KUIFUNGA STARS 3-0 KWENYE UWANJA WAO WA NYUMBANI, TAIFA DAR ES SALAAM LEO.

MSHAMBULIAJI WA STARS AYUBU LIPATI AKIJARIBU KUMTOKA MLINZI WA BURUNDI KIIZA FATAKI WAKATI WA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA DAR ES SALAAM LEO.
SIMON MSUVA WA STARS (KULIA), AKIPAMBANA KUWAPENYA WALINZI WA BURUNDI RASHID LEON (KUSHOTO) NA ISSA HAKIZIMANA LEO
RAMADHAN SINGANO WA STARS AKIWA AMEMTOKA MLINZI WA BURUNDI LAKINI AKAKOSA UMAKINI WA KUWEKA MPIRA WAVUNI.
VIJANA WA STARS WAKIPAMBANA KUFA NA KUPONA KUTETEA JAHAZI LA TANZANIA BILA MAFANIKIONA KUCHAKAZWA MABAO 3-0 UWANJA WA TAIFA LEO.


No comments:

Post a Comment