Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, April 10, 2014

TBL YAPANDA MITI 1300 CHUO KIKUU CHA MAUNT MERU ARUSHA

NAOFISA WA KAMPUNI YA BIA TANZANIA (TBL), WAKIJIANDAA KUPANDA MITI 1300 ILIYOTOLEWANA TBL KWA AJILI YA KUHIFADHI MAZINGIRA MKOANI ARUSHA
KAIMU MKUU WA WILAYA YA ARUMERU BI. STELLA KAAYA AKIPANDA MTI KATIKA ENEO LA CHUO KIKUU CHA MAUNT MERU ARUSHA
MKUU WA CHUO KIKUU CHA MAUNT MERU ARUSHA MCHUNGAJI PROFESA HARRISON OLANG' AKISHIRIKI KUPANDA MOJA YA MITI 1300 ILIYOTOLEWA NA TBL
MENEJA MAUZO NA USAMBAZAJI WA TBL MANISPAA YA ARUSHA BW. DEVIS DEOGRATIUS, AKIWAKILISHA KAMPUNI HIYO KUPANDA MITI

No comments:

Post a Comment