Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, April 1, 2014

TBL YAWEZESHA ZAHATI YA MVUTI KUPATA MAJI SAFI

PICHA MBALI MBALI ZILIMUONESHA Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Elias Kwesi (mwenye suti), akikata utepe kufungua bomba la maji wakati akizindua mradi wa maji katika Zahanati ya Mvuti, Kata ya Msongola, Wilayani Ilala, Dar es Salaam, uliojengwa na Kampuni Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Mkuu wa Mahusiano na Sheria wa Kampuni hiyo, Bw. Stephen Kilindo, Diwani wa Kata hiyo, Bi. Angelina Malembeka na Ofisa Mauzo wa TBL Ilala, Bw. Godrack Kalebi.

No comments:

Post a Comment