TRAFIKI KAZINI, NI HATARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI JIJINI DAR ES SALAAM AKITETA JAM,BO NA MWENDESHA PIKIPIKI KANDO YA BARABARA ZA UHURU NA KAWAWA.
ASKARI WA USALAMA BARABARANI AKIZUNGUMZA NA DEREVA WA DALADALA LA MBAGALA, KAWE BAADA YA KUVUKA TAA ZA KUONGOZA MAGARI ZA KARUME, DAR ES SALAAM NA KUHATARISHA USALAMA WA VYOMBO VINGINE VINAVYOTUMIA BARABARA
HAPA DEREVA AKIJITETEA BAADA YA KUSIMAMISHWA NA ASKARI HUKU ABIRIA WENGINE WAKISHUKA KUTOKA NDANI YA BASI

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru