WAZIRI KABAKA ALIVYOZINDUA MASHINDANO YA NSSF 2014

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, BI. GAUDENCIA KABAKA AKIZUNGUMZA NA WADAU WA MICHEZO WAKATI AKIZINDUA MASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP 2014, KWENYE VIWANJA VYA SIGARA, DAR ES SALAAM.
WAZIRI KABAKA AKIRUSHA MPIRA KUASHIRIA UZINDUZI WA MCHEZO YA NETIBOLI YA NSSF MEDIA CUP 2014. KULIA NI MWAMUZI WA NETIBOLI, MAGRETH FUNDI
WAZIRI KABAKA AKIELEKEZWA NA MWAMUZI KUKAGUA TIMU ZA SOKA KATI HABARI ZANZIBAR NA NEW HABARI
WAZIRI KABAKA AKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA TIMU YA SOKA YA NEW HABARI
WAZIRI KABAKA AKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA TIMU YA HABARI ZANZIBAR
WAZIRI KABAKA AKIPIGA MPIRA KUZINDUA MCHEZO WA SOKA NSSF MEDIA CUP 2014
WASANII WAKITOA BURUDANI WAKATI WA UZINDUZI WA MASHINDANO YA NSSF 2014
WAZIRI KABAKA AKIMSIKILIZA BI. CAROLIN NEWA, KWENYE BANDA YA WANACHAMA WA HIARI, BAADA YA KUZINDUA MASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP 2014
JUJU UTUKURU WA NSSF AKITOA MAELEZO KWA WAZIRI KUHUSU MAFAO YA WANACHAMA WA HIARI.
MAOFISA WA NSSF WAKIFURAHIA JAMBO BAADA YA KUAGANA NA MGENI WAO, WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, BI. GAUDENCIA KABAKA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru