BABA AZAMA,MTOTO ANUSURIKA KUZAMA KWA MAFURIKO RUFIJI,

MTOTO SEIF SAID SIMBA,  ALIYEOKOLEWA NA KAKA YAKE HAMIS  (PICHA YA JUU), WAKATI WA MAFURIKO YALIYOIKUMBA RUFIJI. NA KUSABABISHA KIFO CHA BABA YAO MZAZI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM TAWI LA LUMUMBA, KILIMANI, WILAYANI RUFIJI, SAID SIMBA ALIYECHUKULIWA NA MAFURIKO NA HAKUONEKANA KABISA.
WAZIRI SEIF RASHID AKIZUNGUMZA NA FAMILIA YA MAREHEMU SAID SIMBA, ALIYEPOTEA BAADA YA KUZAMA WAKATI WA MAFURIKO YALIYOIKUMBA RUFIJI
WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII, DKT. SEIF RASHID, AMBAYE PIA NI MBUNGE WA RUFIJI (CCM), ALIPOFIKA NYUMBANI KWA MWENYEKITI ALIYEZAMA KWA MAFURIKO KWA AJILI YA KUTOA POLE KWA FAMILIA YAKE.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru