Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, May 21, 2014

CHEZEA TANZANIA YAKUKUTE YA NDULI IDD AMIN DADAA

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LIKIONYESHA BAADHI YA VIFAA VYAKE VYA KISASA KABISA WAKATI WA MAADHIMISHISHOYA SHEREHE ZA MUUNGANO
HIKI NI KIFARU MAALUM KWA AJILI YA KURUSHA MAKOMBORAMAZITO KWA AJILI YA KUSAMBARATISHA NGOME ZA ADUI WAKATI WA VITA,

 HILI NI GARI MAALUM LA MAWASILIANO YA VIKOSI VYA ANGA WAKATI WA VITA
 BAADHI YA VIFAA VYA VITA HUSAFIRISHWA KWA MAGARI KAMA HIVI
MAKOMANDOO WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA WAKIONYESHA UWEZO WA KUKABILIANA NA ADUI BILA KUWA SILAHA KWA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA TANZANIA, DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE,

No comments:

Post a Comment