Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, May 15, 2014

EMANUEL OKWI, MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA USUMBUFU

MSHAMBULIAJI NYOTA WA KIMATAIFA RAIS WA UGANDA, EMMANUEL OKWI (PICHANI) ANAWEZA KUWA MCHEZJI MWENYE KIPAJI CHA AINA YAKE CHA USUMBUFU KWA KILA TIMU ANAYOBAHATIKA KUSAJILIWA NAYO, AKIWA AMEWEZA KUCHOTA MAPESA KATIKA KLABU YA TUNISIA AKITOKEA SIMBA YA TANZANIA BARA, KABLA YA KUWAINGIA MKENGE YANGA NA KUVUNA MAMILIONI YA PESA NA KUINGIA MITINI.


No comments:

Post a Comment