Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, May 28, 2014

KISIWA CHA MAFIA NA CHANGAMOTO ZA USAFIRI WA MAJINI

JAHAZI LA KUSAFIRIA WANANCHI WA KISIWA CHA MAFIA, MKOANI PWANI. JAHAZI HILI HUTOKA NYAMISATI, RUFIJI KWENDA MAFIA KWA MASAA ZAIDI YA MATANO
MITUMBWI INAYOTUMIKA KUVUSHA ABIRIA WANAOACHWA NA JAHAZI
HAPA WASAFIRI WALIOCHELEWA KUPANDA CHOMBO WAKIINGIA KWENYE BOTI
MTOTO HUYU ANAYEPASWA KUWA SHULE AKITOA HUDUMA KWA ABIRIA
JAHAZI KUBWA LINALOSAFIRISHA ABIRIA KATI YA RUFIJI NA MAFIA, MKOANI PWANI
JAHAZI LIKIANZA SAFARI KUELEKEA MAFIA HUKU LINGINE LIKISUBIRI ZAMU
HAWA WAKIPELEKWA KWENYE JAHAZI KATIKATI YA BAHARI

No comments:

Post a Comment