MASHABIKI YANGA, SIMBA WANAVYOJAZA VIWANJA VYA SOKA

MASHABIKI WA kLABU ZA SOKA ZA YANGA (PICHA YA JUU) NA SIMBA (CHINI), WAMEKUWA NA KASUMBA YA KUJAZA VIWANJA VYA SOKA KILA TIMU ZAO ZINAPOKUWA KWENYE VIWANJA MBALIMBALI NCHINI, LAKINI TIMU HIZO BADO ZINANYENYEKEA WAFADHILI JAMBO AMBALO HALIPASWI KUWEPO KUTOKANA NA UKONGWE WAO NCHINI. ZIMESHINDWA HATA KUWA NA VIWANJA VYA UHAKIKA KWA AJILI YA MAZOEZI YA TIMU ZOA


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru