Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, May 6, 2014

MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MAFURIKO RUFIJI

MTOTO ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM TAWI LA LUMUMBA, KILIMANI, WILAYANI RUFIJI SEIF SAID SIMBA (5), ALIYENUSURIKA WAKATI BABA YAKE MZAZI, MAREHEMU SAID SIMBA ALIPOSOMBWA NA MAFURIKO WAKATI WAKIKIMBIA MAJI.
WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII, DKT. SEIF RASHID, AMBAYEPIA NI MBUNGE WA JIMBO LA RUFIJI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KILIMANI WAKATI AKITOA POLE KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI WA CCM ALIYESOMBWA NA MAFURIKO.
WAZIRI SEIF RASHID AKIZUNGUMZA NA FAMILIA YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM TAWI LA LUMUMBA, KILIMANI, RUFIJI, ALIPOWATEMBELEA KUWAPA POLE KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI ALIYEZAMA WAKATI WA MAFURIKO. WATOTO WA MAREHEMU SAID SIMBA, HAMISI (KULIA), ALIYEFANIKIWA KUMWOKOA MDOGO WAKE SEIF BAADA YA KUZAMA AKIWA NA BABA YAKE MZAZI.
WAKAZI WA RUFIJI WAKIMPONGEZA WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII, DKT. SEIF RASHID, ALIPOWATEMBELEA KUWAPA POLE KUTOKANA NA MAFURIKO MAKUBWA YALIYOWAKUMBA NA KUHARIBU CHAKULA NA MIUNDOMBINO YA BARABARA.

No comments:

Post a Comment