NINI CHANZO CHA MASHABIKI WA SOKA KUZIMIA VIWANJANI?

WATOA HUDUMA YA KWANZA KUTOKA SHIRIKA LA MSALABA MWEKUNDU NCHINI TANZANIA WAKIMSAIDIA MMOJA WA MASHABIKI WA SOKA WANAOZIMIA VIWANANI BAADA YA TIMU ZAO KUPATA USHINDI AMA ZINAPOFANYA VIBAYA. HII ILIKUWA MECHI YA WATANI WA SOKA YANGA NA SIMBA, AMBAPO SHABIKI HUYU ALIZIRAI BAADA YA YANGA KUREJESHA BAO BAADA YA SIMBA KUTANGULIA KUPATA BAO.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru