NSSF YAMPIGA JEKI MLEMAVU WA MIGUU MAFIA

Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Bi. Sauda Salum Mtondoo, akikabidhi Kadi za Bajaj iliyotolewa kwa msaada wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa Mlemavu wa miguu, Bw. Mohamed Abdalla Swalihu, kwa ajili ya kurahisisha usafiri wa mlemavu huyo. Wanaoshuhudia ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Bw. Juma Kintu na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw. Fransis Namaumbo

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru