Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, May 20, 2014

SAMATA, ULIMWENGU WANAVYOITANGAZA TAINZANIA KATIKA MEDANI YA SO

MSHAMBULIAJI MWENYE KASI UWANJANI, THOMAS ULIMWENGU WA TANAZNIA ANAYEKIPIGA KATIKA KLABU YA T.P MAZEMBE YA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO AKIJARIBU KUMPITA NAHODHA WA ZIMBABWE, PARTSON JAURE WAKATI WA MCHEZO WA KUWANIA KUFUVU FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA NCHINI MOROCCO.

HAPA ULIMWENGU AKIFANYA VITU VYAKE NA KUFANIKIWA KUTOA PASI ILIYOZAA BAO PEKEE LA TANZANIA DHIDI YA ZIMBABWE, DAR ES SALAAM JUMAMOSI.
  1. MWANA SAMATA WA TANZANIA, ANAYECHEZA SOKA LA KULIPWA NCHINI KONGO AKICHUANA VIKALI NA WALINZI WA ZIMBABWE, HARDLIFE ZVIREKWI NAMBA TANO MGONGONI NA STEVEN ALIMENDA.WAKATI WA MCHEZO WA KUWANIA KUFUZU FAINALI ZA AFRIKA NCHINI MOROCCO.

No comments:

Post a Comment