Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, May 8, 2014

UKAME WAIKUMBA RUFIJI, MBUNGE AOMBA MSAADA WA HARAKA

WANANCHI WA JIMBO LA RUFIJI, MKOANI PWANI WAKIMSIKILIZAMBUNGE WAO WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII, DKT. SEIF RASHID ALIPOWATEMBELEA KUONA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI.
DKT. RASHID (PICHA YA JUU NA CHINI) AKIZUNGUMZA NA WANANCHI BAADA YA KUTEMBELEA MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA ZILIZOSABABISHA MAFURIKO WILAYANI RUFIJI

HAPA ALIPOTEMBELEA KIBANDA KILICHOJENGWA KWA AJILI YA KUHIFADHI WATU
HAPA ALIPOTEMBELEA FAMILIA ZA WATU WALIOPOTEA KUTOKANA NA MAFURIKO
HAPA MKAZI WA KIJIJI CHA KILIMANI AKIELEZA JINSI MAFURIKO YALIVYOHARIBU MAZAO NA MIUNDOMBINU YA BARABARA

No comments:

Post a Comment