WANASAFISHA JIJI AMA WANAONGEZA UHALIFU MITAANI

ZOEZI LA KUKAMATA PIKIPIKI ZA ABIRIA (BODABODA), DAR ES SALAAM LIMEENDELEA LEO, ZOEZI HILI LINAWEZA KUONGEZA KASI YA VITENDO VYA UHALIFU MITAANI
KWANI WAENDESHA PIKIPIKI HIZO NI VIJANA WALIOACHA UHALIFU NA KUJIAJIRI


ZOEZI LA KUKAMATA PIKIPIKI ZA ABIRIA KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA HII LINAWEZA KULETA ATHARI KUBWA KWA JAMII, KUTOKANA NA VIJANA WALIOKUWA WAMEJIAJIRI KUENDESHA BODABODA KUJIINGIZA KWENYE VITENDO VYA HALIFU
WALINZI SHIRIKISHI WA MANISPAA YA ILALA, WASAKA WAENDESHA BODABODA NA WAFANYABIASHARA NDOGO YA MAHINDI YA KUCHOMA NA KUWAKAMATA LEO

BAADHI YA WAENDESHA BODABONA NA WAFANYABIASHARA NDOGO KATIKA MANISPAA YA ILALA WAKIWA CHINI YA ULINZI WA POLISI NA WALINZI ILALA
MABAKI YA MAGANDA YA MAHINDI YALIYOACHWA NA WAFANYABIASHARA WA MAHINDI YA KUCHOMA ALIYEKAMATWA NA KUPELEKWA MAHAKAMANI LEO


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru