Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, June 5, 2014

HABARI NJEMA KWA WASANII WA FILAMU

MWANDISHI WA BLOG YA MPIGANAJI, NYAKASAGANI MASENZA (PICHANI), KUPITIA KAMPUNI YAO YA ASILIA MEDIA PRODUCTION, ANAWATANGAZIA KUWA WATAANZA MAZOEZI MAKALI KWA AJILI YA FILAMU YA KWANZA YA UPELELEZI HAPA TANZANIA. WADAU WA FILAMU WANAKARIBISHWA KUSHIRIKI. BAADHI YA WACHEZA SOKA WA ZAMANI, WAMEONYESHA NIA YA KUSHIRIKI KATIKA FILAMU HII. 0754296253.

No comments:

Post a Comment