KIFO CHA ISANDEKO, PENGO KUBWA KWA WAPIGANAJI IKIZU

WANYAMA MASENZA, "Tumepokea kifo cha ghafla cha ISANDEKO, alikuwa ndugu yangu wa karibu, nimesikitishwa sana, Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, AMIN, mbele yatu nyuma yake sisi".
TIGANI NYAKIRE "Sina cha kusema jamani, tumepoteza kiungo muhimu katika safu ya ushambuliaji, alikuwa na msimamo usioyumbishwa tutamkumbuka daima, mwache pumzika kwa amani ISANDEKO".
 MUSSA SATARA "Nitasema nini mimi, alikuwa kiungo muhimu kwetu, tumuombee apumzike kwa aman".
 YUSTO NYAKIRE "Tumehudhunishwa sana kwa kifo cha ISANDEKO, hayuko pamoja nasi tena".
 ATHUMANI SAIDI "Mungu aiweke roho ya ISANDEKO mahali pema peponi, AMIN".
 MOHAMED MUSSA "Inasikitisha sana kuondokewa na mwenzetu tuliyemzoea na kushirikiana naye".
 Vijana wa Ikizu, wakiwa kwenye kikao maalum, kilichofanyika TITANIC Vingunguti, Dar es Salaam juzi, wakati wakijadili kusafirisha Mwili wa Marehemu Isandeko, kuelekea Ikizu, Wilayani Bunda, mkoani Mara.

Mmoja wa waombolezaji akiwa ameshika picha ya Marehemu Isandeko wakati wa kuaga mwili wake.
  Wanafunzi wanaosoma na watoto wa Marehemu ISANDEKO wakiongoza waombolezaji kuaga mwili
 Wanafunzi wakita mbele ya jeneza lenye mwili wa Marehemu Isandeko kutoa heshima zao za mwisho
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamesimama kando ya jeneza wakishuhudia tukio la kuaga mwili
 Waombolezaji wakipita mbele ya jeneza lenye mwili wa Marehemu, nyumbani kwake Vingunguti
 Wanyama Masenza, akipita mbele ya jeneza la Marehemu Isandeko wakati wa kuaga mwili wake
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Marahemu Isandeko tayari kuelekea kwenye gari lililoandaliwa kwa ajili ya kusafarisha mwili kuelekea Ikizu, Wilayani Bunda kwa mazishi
 Mwili wa Marehemu wakiingizwa ndani ya gari kwa ajili ya kuelekea Ikizu, Bunda, mkoani Mara

 Yusto Nyakire akisoma majina ya watu watakasindikiza Mwili wa Isandeko kwenda Ikizu.
Picha ya Marehemu Isandeko, wakati wa Uhai wake.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU