Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, June 9, 2014

MIRADI INAYOFANYWA NA NSSF INAVYOVUTIA MATAIFA MENGINE YA AFRIKA


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori (kulia), akikabidhi mfuko wenye zawadi mbalimbali kwa Meneja Mafao wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya Gambia , Joof Donald, aliyekuwa nchini Tanzania kwa ajili ya kujifunza jinsi NSSF ilivyofanikiwa. Katikati ni Meneja Mafao wa NSSF Tanzania, James O.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori (kushoto), akiteta jambo na Meneja Mafao wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya Gambia , Joof Donald, aliyefika ofisi kwake kumuaga baada ya kuwa nchini Tanzania kwa ajili ya kujifunza kuhusu mafanikio ya NSSF. Kulia ni Meneja Mafao wa NSSF Tanzania, James O.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori  akiwasikiliza kwa makini Bw. Donald na James wakati wakijadiliana kuhusu Mafao ya wafanyakazi wa nchini Gambia.

No comments:

Post a Comment