NANI KAMA MAMA

WAKATI AKINA MAMA WENGINE WANANYANYASA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATOTO WADOGO WASIO NA HATIA KAMA ILIVYOTOKEA KWA MTOTO NASRA MVUNGI WA MOROGORO, MAMA HUYU ALIKUTWA NA KAMERA YETU AKISAFIRI KWA GUTA NA MWANAYE, WAKITOKA KATIKA SOKO LA BUGURUNI 
HAPA AKIWA NA MWANAE MCHANGA WAKIPITA KWENYE BARABARA YA UHURU
HAPA MWENDESHA GUTA AKIPITA KATIKATI YA MAGARI HUKU MAMA AKIWA NA MWANAYE, HAPENDI MWANAYE YAMKUTE YA MTOTO NASRA MVUNGI. "HONGERA SANA MAMA, HUYO ULIYENAYE HATUJUI KESHO ATAKUWA NANI KATIKA TAIFA" 

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru