THOMAS ULIMWENGU, ALIVYOJITUMA KUHAKIKISHA TANZANIA INASHINDA

 Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, mwenye kasi ya ajabu anayecheza soka Nchini Kongo, Thomas Ulimwengu akiwa chini baada ya kufanyiwa rafu mbaya wakati Tanzania ilipocheza na Zimbabwe, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kupata ushindi wa bao 1-0, na baadaye kulazimisha sare ya 2-2 na kusonga mbele kuwania tiketi ya kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika, Morocco.
Hapa Ulimwengu akigalagala, wakati akisubiri msaada wa madaktari wa timu ya Tanzania.

 Hapa Madaktari wa Tanzania wakimsaidia Thomas Ulimwengu kupata huduma ya kwanza baada ya kuumia katika mchezo huo ambao Ulimwengu alitoa mchango mkubwa wa kuhakikisha Tanzania yetu inavuka hatua ya awali dhidi ya Zimbabwe. Pia aliifungia bao la pili lililoivusha Stars
 Hapa Ulimwengu akifanya vitu vyake Uwanjani, baada ya kufanikiwa kumtoka mlinzi wa Zimbabwe
Wapigapicha kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania wakifuatilia mchezo wa Tanzania na Zimbabwe kwa makini, wakiwa tayari kupiga picha muhimu za magoli kwa ajili ya vyombo vyao.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru