WAOSHA MAGARI POSTA NUSURA WATOANE ROHO WAKIGOMBEA SH. 500

VIJANA WADOGO WANAOOSHA MAGARI KANDO YA BARABARA YA KUMBUKUMBU YA SAMORA, ILIYOKO MANISPAA YA ILALA, DAR ES SALAAM, NUSURA WATOANE ROHO ASUBUHI YA LEO WAKIGOMBEA SH. 500. HAPA WATOTO WAKIWAANGALIA
HAPA MMOJA ANAHOJI SABABU ZA KURUSHIWA MATUSI MAZITO YA NGUONI. "YAANI UNANITUKANA MIMI NA MAMA YANGU MZAZI?", NDIVYO ANAVYOHOJI WA KUSHOTO
"UKOME KUMTUKANA MAMA YANGU, TENA UKOME NA UKOME", NDIVYO ANAVYOJIBU, KABLA YA MWENZAO ALIYESIMAMA KATIKATI KUWAAMUA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru