Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, July 22, 2014

ACACIA PHARMACY WAITEKA IRINGA

MKURUGENZI WA ACACIA PHARMACY LIMITED, ROBERT GWANCHELE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE JENGO LA NSSF MKOANI IRINGA, WAKATI AKIELEZEA JINSI MADUKA YAKE YANAVYOZINGATIA KUTOA HUDUMA
"TUMEJIPANGA VIZURI KUTOKA HUDUMA KWA WANANCHI WA IRINGA NA WILAYA ZAKE", NI KAURI YA ROBERT NGWACHELE KWA WAANDISHI WA HABARI OFISI KWAKE
GWANCHELE AKIMWELEKEZA AINA YA DAWA OFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), JUMA KINTU, ALIPOFIKA DUKANI HAPO
"TUNAZO KILA AINA YA DAWA, LENGO NI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI WA MKOA WA IRINGA NA MAENEO JIRANI", NDIVYO ANAVYOMWELEZA KINTU WA NSSF.
"NIMEFARIJIKA, NIMEFURAHI KUONANA NA GWANCHELE, TUMESOMA SHULE MOJA MKOANI KILIMANJARO", ANAELEZA KINTU, BAADA YA KUONANA NA GWANCHELE.
ROBERT GWANCHELE AKIWA OFISI KWAKE ACACIA PHARMACY MKOANI IRINGA


HAPA NDIPO ILIPO ACACIA PHARMACY LIMITED, JENGO LA NSSF MKOA WA IRINGA.


No comments:

Post a Comment