Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, July 21, 2014

JK AIFAGILIA NSSF KUKOPESHA WAKULIMA

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIELEZEA KUFURAHISHWA NA MPANGO WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), KUKOPESHA WAKULIMA WA AMCOS YA MBINGA, MKOANI RUVUMA. BAADA YA KUWAKABIDHI HUNDI ZA SH. BILIONI MBILI
 KAIMU MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), BI CHIKU MATESA AKIWAELEZA WANANCHI WA MBINGA SABABU ZA SHIRIKA HILO KUTOA MKOPO WA SH. BILION MBILI KWA WAKULIWA WA MBINGA, RUVUMA.RAIS JAKAYA KIKWETE AKIMSALIMIA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA NSSF, BI. CHIKU MATESA BAADA YA KUKABIDHI HUNDI ZA SH. BILION MBILI KWA AJILI YA KUKOPESA WAKULIMA WA MBINGA, MKOANI RUVUMA


RAIS KIKWETE NA CHIKU MATESA (KUSHOTO), WAKIONYESHA HUNDI KWA WANANCHI WAMBINGA
WAKIWA NA WANANCHI VIONGOZI WA VIKUNDI VYA WAKUKLIMA


 

No comments:

Post a Comment