MSAKO WA WAENDESHA BODABODA DAR NI ZAIDI YA MAJAMBAZI

Ofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam akichukua funguo za Pilipiki wakati wa zoezi endelevu la kuwakamata waendesha Bodaboda, Zoezi hili kwa kiasi kikubwa limeongeza uhalifu mitaani.
Hapa Ofisa wa Polisi akitoa maelekezo kwa waensdesha Bodaboda kujisalimisha sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya zoezi la kuwakamatwa baada ya kuwanyang'anya funguozao.

 Hawa akiwa wamesimama kwenye taa za Kamata wakitafakari baada ya kunyang'anywa funguo zao
 Huyu Mhindi akitembea kwa miguu na kofia ngumu mikononi baada ya kushushwa kwenye Pikipiki inayosukumwa na mwenzake nyuma yake. 'Walah Mimi Napata Ushungu'.


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru